Philippians 2:12

Ngʼaeni Kama Mianga Katika Ulimwengu

12 aKwa hiyo, wapenzi wangu, kama vile ambavyo mmekuwa mkitii siku zote, si tu wakati nikiwa pamoja nanyi, bali sasa zaidi sana nisipokuwepo, utimizeni wokovu wenu kwa kuogopa na kutetemeka,
Copyright information for SwhNEN